TPDC WAWANOA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MIRADI YA GESI NA MAFUTA HUKO BAGAMOYO
Kaimu Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli Tanzania (TPDC), James
Andilile.
|
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli Tanzania (TPDC), James Andilile Akitoa ufafuzi wa katika semina ya siku moja kwa waandishi wa habari khusu miradi ya gesi na mafuta huko Bagamoyo.
Kaimu Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli Tanzania (TPDC), James
Andilile (kulia), akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali kuhusu
uchimbaji wa gesi na mafuta. Kutoka kushoto ni Rais wa Umoja wa
Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam, Jane Mihanje na Mkurugenzi
mstaafu wa TPDC, Yona Killagane.
Kaimu Mkurugenzi wa Mipango na Mikakati wa TPDC, Dk.Wellington Hudson, akitoa mada katika semina hiyo.
| Wapiga picha wa vyombo mbalimbali wakichukua picha wakati viongozi wa TPDC wakijibu maswali.Mdau wako kama kawa nipo ndani ya nyumba kukupa kile kinachojiri. |
Kaimu Meneja wa Utafutaji wa TPDC, Kelvin Komba akitoa mada katika semina hiyo.
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa kwenye semina hiyo.
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa kwenye semina hiyo.
Rais wa Vilabu vya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam, Jane Mihanje akizungumza katika semina hiyo.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli Tanzania
(TPDC), James Andilile (kulia), na wenzake wakifuatilia kwa makini mada
zilizokuwa zikitolewa
kuhusu
uchimbaji wa gesi na mafuta. Kutoka kushoto ni Rais wa Umoja wa
Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam, Jane Mihanje na Mkurugenzi
mstaafu wa TPDC, Yona Killagane.
Ofisa Habari wa TPDC, Malick Munisi
(kushoto), akiwaelekeza jambo wanahabari kuhusu semina hiyo.
Mwanahabari wa Radio Times, Hellen Kwavava akiuliza swali kwenye semina hiyo.
Wanahabari wakiwa kwenye semina hiyo.
Kaimu Meneja Mawasiliano wa TPDC, Sebastian Shana (wa pili kushoto), akiwa kwenye semina hiyo.
No comments
Post a Comment