Umeshawi kujiuliza ni kwa nini Yanga inamganda Manji na kwa nini Manji anataka kuikacha Yanga, haya ndiyo majibu yake
Nilikuwepo siku Mwenyekiti wa club ya Yanga Bilionea Yusuph Manji alipotoa hoja yake binasfi ya kusogeza mbele suala la uchaguzi wa club hiyo kongwe hapa nchini, kwa kipindi cha mwaka mmoja kama kweli wanachama wanadhamira ya dhati ya yeye manji kubaki madarakani kwa kipindi kingine,
Alionekana mwenye dhamira ya dhati kuachia madaraka yake katika klabu hiyo baada ya kufanikiwa kuiongoza klabu hiyo kwa kipindi cha miaka minne ili apishe wengne waje kumpokea kiiti, Hata hivyo wanachama na mashabiki wa Klabu hiyo, walipingana na mawazo ya mwenyekiti wao na kuamua kumpigia magoi ili aendelee kuiongoza klabu hiyo kwa muhula mwingine tena,Omi ambalo baadae sana tena baada ya kuona kwamba huenda akavunja heshima ya mama karume Manjia akamua kuja na pendekezo la kutaka maombi yao kupewa mwaka mmoja tu na siyo miaka minne,
Unaweza kuona sababu ya manji kukataa ombi la wanachama wa Yanga ya kuendelea na uchaguzi ili wampe jukum la kuiongoza Yanga kwa muhula mpya wa miaka minne mingine kama katiba ya klabu inavyosema na badala yake amekubali kuingoza klabu hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja ili kuwapa muda wanachama kufikilia ni nani ambaye atawasaidia katika kuipeleka yanga Kileleni
Wakati napitapita kwa wanachama na viongozi wa matawi ya Yanga, nilibahatika kukutana na mmoja wa wanachama ambaye hakika amejibu maswali magumu yanayosumbua vichwa vya Watanzania hasa wanazi wa Yanga, na haya ndiyo majibu
MANJI KUIKACHA YANGA
Manji tokea mwanzo kabisa baada ya kumaliza kipindi cahake cha kuiongoza Yanga, Manji aliibuka na kusema kwamba yeye hata gombea tena , na moja ya sababu yake muhimu ni kwamba anahitaji kupumzika na kuangalia mambo mengine hasa biashara zake na kuingalia familia yake kwa ukaribu zaidi,Baada ya hapo Wana yanga walionekana kuhangaika huku na huko ili kumshawishi bilionea Manji kuendelea kuiongoza klabu hiyo kongwe ili mwisho wa siku klabu iwe na mafanikio ya kutosha kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na Duniani kwa Ujumla.
Kwa mtu mwingine, anaweza sema sasa manji wanampigia magoti kutokana na utajiri wake ili aisaidie klabu, lakini umewahi kujiuliza hivi ni kwanini hasa manji anahitaji kutoka wakati watu bado wanamtaka??????
- Moja ya sababu kubwa ambayo Manji ameitaja ni kutokuwa na sapoti ya kutosha ya wanayanga, Linapokuja suala la kupigania maslahi ya Yanga, Manji anabaki kuwa peke yake huku akiona wazi kuwa haki ya Klabu inapotea tena mikononi mwake,Mfano tu suala la Udhamini wa Ligi na haki za kurusha matangazo ambalo lilijitokez ahivi karibuni kwa Azam Media kujiingiza na kununua haki ya kurusha matangazo. Dhamira siyo mbaya lakini unyonyaji dhahili ulioonyeshwa na Azam kwa kutoa fedha sawa bila kujali ukubwa wa Klabu kwa kweli haukubaliki na wala haipendezi katika macho ya Wanayanga, Lakini katika hili Manji aligoma kusaini lakini walimlazimisha na hakuna sapoti toka kwa wanachama basi mwisho wa siku klabu imenyonywa
- Manji anasema kungekuwa na ummoja toka kwa wanachama basi kibali cha Yanga kuonyeshwa katika Azam Tv kisingeweza kutolowewa na badala yake wangeweza kumpata mwekezaji ambaye akiwapa fedha nzuri
No comments
Post a Comment