Tanzania kwa mara ya kwanza yakiri kuwa waasi wa M23 wametoka Rwanda, wadau wasema huko ni kumchokoza Kagame
![]() |
| Benard Membe Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania |
Tanzania kwa mara ya Kwanza
imesema inayo uhakika kuwa waasi wa M23 walioondolewa nchini Jamuhuri ya
Kongo ni ni raia Rwanda.Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Benard
Membe ameliambia Bunge la Tanzania kuwa anao uhakika kuwa waasi M23
walitokea nchini Rwanda.
Hii ni Mara kwanza kwa Tanzania kukiri hadharani kuwa inao uhakika kuwa waasi hao ni raia wa Rwanda.
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo
zimepeleka majeshi Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambayo kwa
kushirikiana na yale ya umoja wa Mataifa yaliwaondoa waasi hao DRC
Matamshi hayo ya Waziri huyo aliyatoa wakati
alipokuwa akiwasilisha hotuba ya Bajeti ya Wizara yake ambapo pia
alikiri kuwa bado uhusiano wa Tanzania na Rwanda sio mzuri.
Hata hivyo upande wa Upinzani mlishambulia Waziri huyo wa Mambo ya nje Benard Membe wakidai kwamba Waziri huyo anachochea kuvurugika kwa uhusiano wa Watanzania na Rwanda kwa kuhisi kuwa M23 ni Wanyarwanda nahata kutaka achukuliwe adhabu kali.

Mbali na waziri baadhi ya wabunge wanamuunga mkono waziri Membe kuwa waasi wa M23 ni raia wa Rwanda wao.
Matamshi haya Waziri wa Tanzania kuhusu M23 bado haijulikana ni kwa namna gani utaathiri uhusiano wa Tanzania na Rwanda kama utakuwepo huenda ukajulikana hapo baadae.
Hata hivyo upande wa Upinzani mlishambulia Waziri huyo wa Mambo ya nje Benard Membe wakidai kwamba Waziri huyo anachochea kuvurugika kwa uhusiano wa Watanzania na Rwanda kwa kuhisi kuwa M23 ni Wanyarwanda nahata kutaka achukuliwe adhabu kali.

Waasi wa M23
Mbali na tuhuma hizo Waziri Membe alizidi
kusisitiza kuwa waasi wa M23 ni raia wa Rwanda akisema hiyo ni ripoti ya
Umoja wa Mataifa.Mbali na waziri baadhi ya wabunge wanamuunga mkono waziri Membe kuwa waasi wa M23 ni raia wa Rwanda wao.
Matamshi haya Waziri wa Tanzania kuhusu M23 bado haijulikana ni kwa namna gani utaathiri uhusiano wa Tanzania na Rwanda kama utakuwepo huenda ukajulikana hapo baadae.

No comments
Post a Comment