Zinazobamba

RECHO AMETUTOKA, CHUKUA MUDA WAKO KUONA MATUKIO YA PICHA HUKO MUHIMBILI


Recho hatunae tena

Rachel Haule (RECHO)enzi za uhai wake, Racheli amefariki leo asubuhi wakati akijifungua.

baadhi ya wasanii wa Bongo muvi wakiwa katika hospitari ya taifa ya muhimbili baada ya kupata habari ya kifo cha Racheli

mume wa Rachel akiwa mwenye majonzi baada ya Kifo Cha mke wake sambamba na mtomto wake,mapema hii leo katika hopstari ya muhimbili




Akiwa kwenye pozi la ukweli enzi za uhai wake

No comments