HUU NI UZEMBE WA TCRA ? AMA NI MFUMO?, TCRA MNA LA KUJIBU KATIKA HILI>>>>>>
Na mwenyekiti
Habari za kazi ndugu zangu wapendwa, ni siku nyingine tena tunakutana katika mtandao huu pendwa na kuambizana yale mambo muhimu sana ambayo kila kukicha yanazidi kushika chati,
Ni hivi juzi tu, kulikuwa na sakata kubwa hapa nchini ambalo lilipamba vichwa vya habari vya magezeti yetu pamoja na mitandao mbalimbali ya kijamii,nalo si lingine ni kuhusiana na maamuzi mazito yaliyofanywa na mkuu wa nchi, Mh.Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutengua nafasi za mawazili wanaosadikiwa kufanya madudu katika zoezi la Operesheni tokomeza ujangili,
Naambiwa hapa na vyannzo vyangu muhimu kuwa, bwana mkubwa leo hii anaingia nchini, nadhani kazi iliyo mbele yake kwa sasa ni kuchagua mawazili makini ambapo hawatamuangusha katika kuamalizia ng'we yake ya mwisho kwa amani na bila kutokea vitendo vya kinyama kama hivi vilivyowaondoa mawaziri wanne kwa mpigo,
Nina hakika uchunguzi wa namna gani zoezi lilitekelezwa na kivipi wananchi wamefanyiwa ukatili na kwa kiasi gani fidia italipwa kwa wananchi hawa ambao wamevunjiwa heshima katia maeneo yao ya makazi utafanyika ili kuleta usawa kwa hawa waathirika,
Hata hivyo niwapongeze pia mawaziri ambao walijiuzuru wenyewe bila kushurutishwa baada ya kuona kuwa watendaji wake wamemuangusha, hiyo ni dalili nzuri ya kuonyesha ukomavu wa kisiasa, nakupongeza sana,
Katika hatua nyingine, naamini wazi kuwa watendaji kule chini watachukuliwa hatua stahili na wale wote waliofanya vitendo vya aibu kama vile watawajibishwa ipasavyo ili liwe fundisho kwa watu wengine,
Si nia yangu kuelezea madahara na ukatili uliofanywa katika zoezi hilo la tokomeza ujangili ambapo wake za watu wabebakwa, na pengine hata watoto wadogo kufanyiwa vitendo vya kishetani, Nadhani suala hili litapata siku yake ambapo fullhabari itakupa habari kamili na picha kuhusiana na sakata hilo,
Leo hii kama kawaida ya fullhabari, ambayo imelenga kuuhabarisha umma juu ya mwelekeo wa tafa kiujumla na kuibua hoja za watu, ili zisikike kwa wakubwa, mezani kuna hoja ambayo wananchi kila mara wamekuwa wakinitaka kuiandika habari hiyo katika mtandao huu ili wape kujua hivi kweli yanayosemwa yapo na kama yanasemwa yapo kwa nini sasa watendaji hawachukiliwi hatua znazofaa,
Leo hii Taa ya Fullhabari, inamulika katika zoezi la usajiri wa simu,zoezi hili kama wananch mnakumbuka vizuri lilivyoanza tu tuliambiwa maneno mengi ya kututia faraja na mengine ya kututisha, ilikuwa ni lazima usajiri laini yako na kama hajasajiri laini yako inasadidikika ungekatiwa mawasiliano yako na pengine usingeruhusiwa kuwa na simu kabisa,
Toka hapo wananchi waliitikia wito huo kwa wingi, wakajipanga katika misururu ili kutaka kusajiriwa laini zao, wengine, walitoa hongo ili asajiriwe kwa haraka aende akafanye kazi za kulijenga taifa,
Ni miaka minne sasa imepita tokea zoezi hilo lipitishwe lakini mpaka sasa TCRA inaonekana bado haijaweza kuhimili ama kusimamia misingi ya sheria za usajiri wa laini za simu, Kwa maneno mengine TCRA Imeshindwa kazi na ndio maana mpaka sasa bado kumekuwapo na laini nyingi ambazo hajisajiriwa huku zikiwa zina fanya kazi,
Awali TCRA ilikutana na waendesha mitandao ya simu(operatos) hapa nchini kujadili ni namna gani wataweza kuwabana wananchi kutumia laini zilizo sajiriwa,
Katika mkutano wao na mitandao ya simu hapa nchini, yaai TIGO, VODACOM, AIRTEL ZANTEL,na mingineyo, walijadili kwa kina ni namna gani wanaweza kukabiliana na changamoto ya kuwabana WASAJIRI na WATEJA wa mitandao ya simu kufuata sheria ya EPOCA,
Walikuja na majibu ya kuzifungia laini zote hukohuko sokoni na hazitaanza kutumika mpaka usajiri wake uwe umekamilika na kinyume chake sheria itachukua mkondo wake Kwa wale wote waliohusika yaani kuanzia Msajiri, Mteja Na Mtoa huduma wote watawajibishwa kwa mujibu wa sheria ya mawasiliano yaEpoca,
Uwamuzi wa kuja na majibu hayoni kwamba Ilibainika wazi kuwa wananchi wengi wanatumia laini ambazo zimesajiriwa kwa usajiri wa muda,ambao hautambuliki na TCRA, Hivyo ni rahisi kwa watumiaji wa laini zisizosajiriwa kuweza kufanya uharifu na wasionekane, Swali ni kwamba mpaka sasa hali ikoje na wangapi wamechukuliwa hatua na wateja wangapi wamewajibishwa?
Fullhabari, imekuja na utafiti wake juu ya utkelezaji wa makubaliano kati ya Mamlaka ya mawasiliano Tanzania na Watoa huduma za mitandao ya simu hapa nchini kuhusiana na zoezi la usajiri wa simu na kubaini madudu mbalimbali yanayofanywa huko ktika vituo vya usajiri
Utafiti huo ulifanywa katika Jiji la Daresalaam katika wilaya zake tatu za Ilala, Temeke na Kinonndoni,na kugundua wazi kuwa makubalibaliano yale ya TCRA a watoa huduma hayafuati hata chembe na bado watu hawachukuliwi hatua kama sheria inavyotaka,
Utafiti unaonyesha wazi kuwa tokea makubaliano yaanze kufikiwa pale makao makuu ya TCRA, kampuni ya AIRTEL Tanzania, ilianza kupuuzia siku ileile, Laini zao zilionekana kufanya kazi bila wasiwasi huku zikiwa mya, Laini hizo za aitel hazikufungwa kabisa Mteja alikuwa na Fursa ya kusajiri laini hiyo hata kama hana kitambulisho na kuanza kuitumia muda huohuo pasipo kikwazo chochote, kitu ambacho ni kinyume cha makubaliano yao kati ya Tcra na mitandao ya simu
Sina hakika kama TCRA waliwapa fursa hiyo lakini nadhani hiyo ni jeuri tu ya watu wa mitandao ya simu ambao wanadhani sheria zetu hazina meno na kwamba chochotekinaweza kufanywa na pesa ndiyo inayoongea
Airtel wameendelea hivyo, hadi sasa ambapo ukitaka kupata laini ya Airtel wala huwezi kupata tabu ya kukaa muda mrefu usubili laini yako ifunguliwe kama mitandao mingine inavyofanya, kwa njia hii watejawengi walikuwa wanahama mtandao mmoja kwenda mtandao mwingine, na hii ilishusha sana mauzo ya mitandao ambayo ilikuwa inafuata sheria, huu wote ni ukosefu wa watu makini wa kusimamia seria zetu,
Utafiti unazidi kuonyesha kuwa mtandao wa simu wa TIGO, unaonyesha kuwa mwanzoni laini zao zilikuwa zimefungwa kabisa na huwezi kuitumia mpaka usajiri ukamilike, zoezi la kuifanya laini ikamilike lilikuwa linachukua ndani ya siku tatu,
Hivi sasa nao, wanarudi kulekule, laini zao ndani ya nusu saa tayari imeshasoma namteja anafurahia huduma, hivihiyo fomu imefika saa ngapi na kwamba kama kuna taarifa za utata unafanyaje, mimi nadhani hapa kuna tatizo,
Achilia mbali tigo ambao nao wameanza kuwaiga wenzao wa Airtel katika suala zima la kusajiri lakini bado mitandao kama ya voda na Zantel wanafanya madudu huku sheria ikiwatazama bila kuwachukulia hatua yoyote, hivi tunahitaji nani aje asimamie sheria zetu?
Prof. John S. Nkoma
DIRECTOR GENERAL
![]() |
| MKURUGENZI WA MAMLAKA YA MAWASILIANO HAPA NCHINI (TCRA) AKIWA KATIKA OFISI ZAKE, NKOMA AMEWATAKA WANANCHI KUFUATA SHERIA KATIKA ZOEZI LA USAJIRI, LAKINI MPAA SASA WATOA HUDUMA WANAVUNJA SHERIA NA AMESHINDWA KUWAKAMATA |

KUFELI KWA USIMAMIZI WA SHERIA

HAYA HAPA MAELEZO YA NKOMA KWA WANANCHI,
FROM THE DG’S DESK

Enhancing Simcard Registration
The
Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) cautions the public
that it is a criminal offence to register your Subscriber Identity
Module, SIM-card- using false or fallacious identity. As a user of
mobile phone services, you are advised to visit the office of your
service provider or their agents for registration with your photo
identity for verification. You are required to provide correct
information. The Electronic and Postal Communications Act (EPOCA) of
2010, under section 131, stipulates that it is a criminal offence for
any person who knowingly uses or causes to be used an unregistered SIM
and shall be liable on conviction to a fine of five hundred thousand
Tanzanian shillings (Tshs 500,000.00) or imprisonment for a term three
months or both.
The Authority reminds the public that effective 1st June 2013, all new unused SIM cards were locked; they
will only be activated upon registration and verification. Any body
found using or enabling the user of unregistered SIM to facilitate
communication is against the law (EPOCA) and if convicted will fall
under the penalties stipulated in para 1 above. TCRA appeals to the
general public to report to the relevant Authorities (Police, TCRA)
anybody who buys or sells a SIM card and uses it without registering.
The Authority further reminds the communication users to check their registration status by, dialing *106# if you are using a GSM networks [Vodacom, Airtel, MIC (Tigo) and Zantel], or if you are using a CDMA network [BOL, SASATEL, TTCL Mobile and Zantel Data] call 106
and follow instructions. The information provided should indicate your
registration status. If the details are not correct, please visit office
of your service provider or their agents for necessary amendments.
TCRA
calls upon all users of mobile phone services who have not registered
their SIM cards to register immediately! The general public is hereby
informed that, as from 10th July 2013, all
unregistered SIM cards which were in use were disconnected. To
re-activate disconnected SIM card, one has to go through registration
and verification process.
Consumers
and the public are hereby urged to support the on-going efforts to
enforce SIM card registration. The success of SIM card registration will
lead to enhancement of security, welfare of Tanzanians and the
development of the communications sector.
SIM
Card registration exercise is of multiple benefits like electronic
money transfer services (sending and receiving money through mobile
phones). Settlement of bills like buying of electric charges, payment of
water bills and school fees.
A
total of twenty-eight million SIM-cards have been sold to users of
mobile phone services in the country (some users own more than one
line). The total number of users of mobile phone is estimated to be
Seventeen Million (17,000,000).
The potential customer is required to present any of the following photo identity documents:
-
-
-
-
- Passport
- National ID
- Voter ID
- Pensions, Social Security Fund ID
- Drivers License
- SACCOS ID
- Bank Card ID
- Work ID with signed Employer introduction letter
- Local Government introduction letter with certified photograph
- Birth certificate with photograph
- Zanzibar Residents ID
- Work ID
-
-
-
Prof. John S. Nkoma
DIRECTOR GENERAL
No comments
Post a Comment