WAKAZI DAR KUFA NJAA, NI KUTOKANA NA WASAFIRISHAJI KUGOMA KUPELEKA MAGARI YAO SAFARI, WASEMA HAKO TAYARI KUPATA HASARA KWA UAMUZI WA MTU MMOJA.
WAMILIKI WA MAROLI HAPA NCHINI WASEM A KUWA HAWAKO TAYARI KUPELEKA MAGARI YAO BARABARANI, WAKISEMA KUWA KUFANYA HIVYO NI SAWA NA KUFANYA BIASHARA AMBAYO HAINA FAIDA,
WAKIZUNGUMZA NA WAANDSIHI WA HABARI MAPEMA HII LEO JIJINI DARESALAAM, WAMILIKI HAO WAMESEMA, WAMEFIKIA HATUA HIYO BAADA YA KUONA KUWA UPANDE WA SERIKALI KUPITIA KWA WAZIRI WA UJENZI BW. JOHN POMBE MAGUFURI KUONESHA NIA YA KUWAKANDAMIZA WAMILIKI WA MALOLI

WAMILIKI WA MALORI WAKIFAFANUA JAMBO, WAMILIKI HAO WAMESEMA KUWA HAWATAPAKIA MIZIGO HADI HAPO SERIKALI ITAKAPOTOA UFAFANUZI WA SHERIA YA ASILIMIA TANO

No comments
Post a Comment