Rais Kikwete akiwahutubia mamia ya wananchi katika Viwanja vya CCM,huko Mlandizi, Kibaha(picha na Freddy Maro) mara baada ya kuzindua kiwanda cha Viuadudu mkoani Pwani jana.(PICHA NA FREDDY MARO IKULU) Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wananchi waliofurika katika viwanja vya CCM Mlandizi Kibaha ambapo aliwahutubia katika Mkutani wa Hadhara. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wananchi waliofurika katika viwanja vya CCM Mlandizi Kibaha ambapo aliwahutubia katika Mkutani wa Hadhara. SOURCE BUKUKU
No comments
Post a Comment