TIGO YADHAMINI TENA, WANAFUNZI 40 WAULA, KUSOMESHWA BURE HADI KIDATO CHA NNE
MEYA WA MANISPAA YA ILALA AKIFULAHIA JAMBO PINDI ALIPOZINDUA MFUKO HUO WA KUCHANGIA ELIMU ILI WATOTO WAWEZE KUSOMA , KULIA KWAKE NI DIWANI WA KATA YA KIPAWA BI BONNAH KIRUA |
AKIZUNGUMZA MBELE YA WADAU MBALIMBALI WALIOHUDHULIA KATIKA HAFLA ILIYOFANYIKA JIJINI DARESAALAAM, DIWANI WA KATA YA KIPAWA AMESEMA MOJA YA DHAMIRA YA MFUKO HUO NI KUCHANGIA VIJANA KUSOMA HIVYO AMEWATAKA WADAU MBALIMBALI KUJITOKEZA NA KUACHA KUCHANGIA ILI VIJANA WA ILALA AMBAO WAMESHINDWA KUJIUNGA NA MASOMO YAO WAPATIWE FULSA HIYO,
HUU NDIO MFUKO WA ELIMU UNAOTAKIWA KUCHANGIWA ILI MAMBO MBALIMBALI YAENDE VIZURI YA KIELIMU |
BANGO LIKIONYESHA MSISITIZO KWA WANANCHI ILI WAWEZE KUCHANGIA ELIMU |
NAIBU WAZIRI, MAKONGORO MAHANGA AKIFAFANUA JAMBO KATIKA UZINDUZI WA MFUKO HUO |
WANANCHI WAKISIKILIZA KWA MAKINI KATIKA UZINDUZI HUO |
MENEJA JAMII WA TIGO BI. WOINDE SHISAEL ALIYEVAA NGUO NYEKUNDU AKIBADILISHAANA MAWAZO NA MMOJA WA WADAU WALIOHUDHULIA UZINDUZI HUO, TIGO WALIZAMINI WATOTO 40 ILI WAWEZE KUSOMA |
No comments
Post a Comment