Zinazobamba

TANROADS MKO WAPI?, WAKAZI JIJI LA DARESALAAM WALALAMIKA MITARO YA KINYESI KUTIRIRISHWA BARABARANI NA KUSABABISHA FOLENI ISIYO YA LAZIMA

HAPA NI MTAA WA LINDI , MAGARI YAKIPITA KWA SHIDA KUTOKANA NA MAJI YALIYOJAA KATIKA MADIMBWI MAKUBWA YALIYO NDANI YA BARABARA YA MTAA HUO, WAKAZI WA MAENEO HAYO WAMESEMA MAJI HAYO YAMESABABISHWA NA MIFEREJI ILIYOFUNGURIWA TOKA MAJUMBANI MWA WATU,

HALI NDO IKO HIVYO KATIKA MTAA HUO WA LINDI JIJINI DARESALAAM, MAJI HAYO YAMESABABISHWA FOLENI ISIYO YA LAZIMA HIVYO KUWA KERO KWA WAPATA GARI NA WATEMBEA KWA MIGUU



No comments