CHADEMA, CUF NA NCCR WASITISHA MAANDAMANO YAO, WASEMA KWANZA TUNAKUTANA NA RAIS, MENGINE BAADAE
VYAMA VYA SIASA VYA CHADEMA NCCR NA CUF WAMEAMUA KWA KAUI MOJA KUSITISHA MAANDAMANO YAO YALIOTAKA KUANZA OKTABA 10 NA KUSEMA KUWA WAMEONA NI VYEMA KWANZA WAKIKUTANA NA RASI KAMA ILI KUJUA MSIMAMO WAKE
WAKIZUNGUMZA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI MAPEMA HII LEO JIJI DARESALAAM, MWENYEKITI WA UMMOJA HUO PROF. IBRAHIMU HARUNA LIPUMBA AMESEMA WAMEFIKIA HATUA HIYO ILI KUJUA MSIMAMO WA RAISI KAMA YEYE MWENYEWE ALIVYOSEMA KUWA TUKAE MEZA MOJA ILI KUJADILI SUALA HILO
LIPUMBA AKIFAFANUA JAMBO, KUSHOTO KWAKE NI MWENYEKITI WA CHAMACHA NCCR BW. JAMES MBATIA |
MWENEKITI WA CHAMA CHA CHADEMA AKIWA BIZE KATIKA MKUTANO HUO
Add caption |
No comments
Post a Comment