Zinazobamba

RUFAA YA BABU SEYA, PAPII KOCHA HUKUMU YAKE NI KESHO, LEO IMESIKILIZWA






Leo, Jumatano, jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufani nchini Tanzania limeipitia upya hukumu yao.

Katika rufaa hiyo leo wakili wa Babu Seya na Papii Kocha ameiomba mahakama hiyo ifute ushahidi na waachiwe huru lakini serikali imepinga.

Kutokana na hatua hiyo, *leo mahakama ya rufaa haijafanya uamuzi wowote imewapiga kalenda  na  kesi  inasubiri  hukumu  mpya.

Nguza Viking na Papii Kocha wanatumikia kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kubaka na kulawiti watoto wadogo wa shule ya msingi.

Hakuna maoni