Zinazobamba

JE WAJUA!!!!!, HUYU NDIYE SIMBA ALIKABIDHIWA NYERERE IKIWA NI ISHARA YA UJEMEDARI WAKE

WAZEE WAKISHIRIKI MCHEZO WA BAO , KULIA NI MZEE SHABANI MOHAMEDI A.K.A MTU MBAYA AKIPAMBANA NA MZEE MWENZAKE BW.JABIL NYUMBA  KATIKA JUMBA LA MAKUMBUSHO, KATIKA MAKUMBUSHO HAYO YA TAIFA MAONESHO MAARUM YA KAZI ZILIZOFANYWA NA HAYATI BABA WA TAIFA ZINAENDELEA KUONYESHWA, HUU NI MCHEZO AMBAO MWL. ALIKUWA AKIUPENDA SANA

UNAMJUA SIMBA AMBAYE ALIKABIDHIWA HAYATI BABA WA TAIFA KAMA ISHARA YA UJEMEDARI WAKE,NI HUYO HAPO JUU, SIMBA HUYO ALIKABIDHIWA MWAKA 1985 HUKO JIJI  ARUSHA NA WAKAZI WA JIJI HILO, ANAYEFAFANUA NI IRENE MVILLE AMBAYE NI MKUU WA IDARA YA PROGRAM KATIKA JUMBA HILO LA MAKUMBUSHO

WATOTO NAO HAWAKUWA NYUMA KATIKA KUMUENZI BABA WA TAIFA, HAO JUU NI WATOTO WA SHULE YA MKOMBOZI WAKIFUATILIA KWA MAKINI MAONENYESHO YANAYOENDELEA NDANI YA JUMBA HILO LA MAKUMBUSHO, HATA HIVYO WATANZANIA WAMETAKIWA KUHUDHULIA KATIKA JUMBA HILO ILI WAWEZE KUONA VITU MBALIMBALI VYA KALE VILIVYOHIFADHIWA NDANI YA JUMBA HILO

MWL. WA NIDHAMU WA SHULE YA UKOMBOZI BW.PRIMI CRISTOPHER MKWE, AKIFAFANUA JAMBO KATIKA MAKUMBUSHO HAYO,MKWE AMEWATAKA WAZAZI KUANZA KUWAFAUNZA WATOTO WAO KUKATAA RUSHWA TOKEA WAKIWA WADOGO, AMESEMA  MTOTO YEYOTE ANAYEDAI PESA ILI AFANYE KAZI UJUE KUWA HIYO NI RUSHWA NA KAMA UNAENDELEA KUTOA HIYO BAHASHISHI ILI UFANYIWE KAZI NA MWANAO NA NDIVYO HIVYO ATAKAVYOJENGEKA NA KUWA NA TABIA YA KUOMBA RUSHWA HATA AKIWA NA OFISI KUBWA.

No comments