Zinazobamba

AKUTWA AMEJINYONGA, CHANZO CHA KUJINGONGA HAKIJAFAHAMIKA

-AKUTWA AMEJINYONGA KWENYE MTI NA KAMBA HUKO MOROGORO

MWILI UKIWA KWENYE GARI
MWILI HUO UKISHUSHWA KATIKA MTI HUO
MTU MMOJA AMBAYE JINA LAKE HALIKUFAHAMIKA MARA MOJA AMEKUTWA AMEJINYONGA NA KAMBA KWENYE MTI MKOANI MOROGORO USIKU WA KUAMKIA LE O,ASKARI WAMEEMA KUWA WAKIWA KATIKA DORIA WAMEKURA MWILI HUO UKININGINIA AMBAPO BADO CHANZO CHA KUJINYONGA HAKIJAJULIKANA
ASKARI WAKIUTAZAMA MWILI WA MAREHEMU

No comments