Zinazobamba

ewura yakabidhi leseni kwa wakandarasi 106, ni wale wanaoshughulika na ufundi umeme, yasema wawe macho na leseni zaonapokea

Napokea, mmoja wa mafundi umeme akipokea leseni yake ya kufanya kazi kama fundi umeme, jumla ya leseni 106 zimetolewa kwa wakandarasi wa umeme ikiwa ni moja za jitihada na ewura za kupunguza vishoka katika fani ya umeme

alimuwakilisha mkurugenzi wa Ewura, akisoma hutuba kwa wakandarasi waliopewa leseni za kufanya kazi za umeme, Eng. huyo amesema wakandarasi lazima wawe makini na leseni zao kwani kuna watu wanaweza kutumia leseni hizo vibaya hususaninyakati unaacha kazi katika moja ya kampuni wanazofanyia kazi, Ili kuondoa sintofahamu hiyo ni vyema wakatoa taarifa hzo za kuacha kazi mapema ili hatua za kufuta kumbukumbu zifuate

No comments