CHAMA CHA MAPINDUZI KUENDESHWA MKUTANO MKUBWA JANGWANI, YATAKA KUELEZEA MUSTAKABALI WA CHAMA CHAO, KIONGOZI WA KITAIFA KUHUTUBIA
CAHAMA CHA CCM MKOA WA DARESAALAM KIMEWATAKA WANACHAMA, WAPENZI, NA WENYEVITI WA MASHINA PAMOJA NA WANANCHHI KWA UJUMLA KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA MKUTANO WA HADHALA ULIOITISHWA NA CHAMA HICHO SIKU YA JUMAPILI
MKUTANO HUO MKUBWA WA HADHARAUTAKAOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA JANGWANI SIKU YA JUMAPIL UNATARAJIWA KUHUTUBIWA NA VIONGOZI WA KITAIFA
AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI OFISNI KWAKE KATIBU WA SIASA NA UENEZI WA MKOA WA DARESALAAM BW.JUMANNE SIMBA (MAAALUFU KWA JINA LA GHADAFI,) AMESEMA WANACHAMA WOTE WA CHAMA HICHO KATIKA JIJI LA DARESALAAM WAMETAKIWA KUJA KWA WINGI KATIKA VIWANJA HIVYO KUANZIA MAJIRA YA SAA SITA
GHADAFI AMESEMA KUTAKUWA NA WANAMZKI MBALIMBALI AMBAO WATATUMBUIZA KATIKA SIKU HIYO KABLA YA MKUTANO WENYEWE KUANZA RASM SAA KUMI JIONI

No comments
Post a Comment