BALAZA LA HABARI TANZANIA MCT IMEKILI KUWA KUNA BAADHI YA BLOGS ZINAZOENDESHWA NA WAANDISHI WA HABARI ZIMEKUWA ZIKIENDESHWA KWA KUFUATA MAADILI LAKINI AMEONGEZA KUWA KUNA ZINGINE ZINAENDESHWA NA WANANCHI AMBAO HAWAFAHAMU TAARUMA YA UANDISHI WA HABARI KABISA
 |
MKURUGENZI
WA MCT BW. KAJUBI MKAJANGA AKIFAFANUA JAMBO KWA WAANDISHI WA
HABARI(HAWAPO PICHANI) JUU YA MUSTAKABALI WA BLOGS KUSHIRIKI KATIKA
MASHINDANO MBALIMBALI YAHUSIO TAARUMA YA UANDISHI WA HABARI.MKAJANGA
AMESEMA WANABOLOGS WANAHESHIMIWA LAKINI KWA SASA BADO HAWAKO TAYARI
KUZISHINDANISHA PAMOJA NA MARADIO,TV, NA MAGAZETI KATIKA SUALA ZIMA LA
UANDISHI WA HABARI MAKINI AKIDAI KUWA HAWAFUATI MISINGI YA UANDISHI WA
HABARI MAKINI |
AMESEMA KUTOKANA NA UKWELI HUO MCT KAMA BALAZA LIMEKUWA LIKIPATA UKAKASI WA KUTAMBUA BLOGS GANI HASA ZINAENDESHWA KWA KUFUATA MISINGI YA UANDISHI WA HABARI, NA ZIPI AMBAZO ZIMEKUWA ZIKIANDIKWA BILA YA KUFUATA MIENENDO YA UANDISHI WA HABARI
UNAJUA HIVI SASA HATA MWANANCHI WA KAWAIDA ANBLOGS YAKE NA ANAANDIKA VITU VYAKE HIVYO TUKISEMA WAANDISHI WA BLOGS TUWASHINDANISHE TUNATUMIA VIGEZO GANI HASA, ALISEMA BW. MKAJANGA
 |
KUSHOTO KWA MKAJANGA NI MKURUGENZI WA TANZANIA MEDIA FUND BW. ERNEST SUNGURA AMBAO NDIO WAFADHILI WAKUU WA TUZO ZA WAANDISHI WA HABARI HAPA NCHINI, SUNGURA AMESEMA WANABLOGS WOTE WANAOFUATA TAARUMA YA KIUANDISHI KATIKA KUANDIKA HABARI ZAO HAWANA BUNI KUTHIBISHA HILO KWA KUFANYA KAZI NA SIO KUDAI KUHUSISHWA KATIKA MASHINDANO YA WANAHABARI MAKINI WA VYOMBO RASMI. |
 |
ERNEST SUNGURA AKIFAFANUA JAMBO KWA WAANDISHI WA HABARI, SUNGURA AMEWATAKA WAANDISHI WA BLOGS KUANDIKA HABARI ZA KUELIMISHA KUBURUDISHA NA KUFUNDISHA ILI ZIWEZE KULETA TIJA KWA TAIFA , NA KUONGEZA KUWA WAKIFANYA HIVYO WATU WATAONA UMUHIMU WA BLOGS ZAO NA HIVYO KUONGEZWA KATIKA KUPATIWA TUZO NA CHOMBO HICHO CHA SERIKALI |
 |
MWANDISHI WA HABARI WA TBC BW. JAMALI HASHIMU AKIFAFANUA JAMBO MBELE YA WAANDISHI WA HABARI. JAMALI AMEPATA TIKETI YA KWENDA DE JANERO BRASILI KWENDA KUSHIRIKI MAFUNZO YA UANDISHI WA HABARI ZA UCHUNGUZI BAADA YA KUWA MWANDISHI BORA WA MWAKA JANA |
 |
MWANDISHI WA MWANANCHI NAYE AKIPEWA TIKETI YAKE KWENDA KUSHIRIKI MAFUNZO HAYO |
No comments
Post a Comment