WIZARA YASEMA UGOMVI WA TOZO PALE RUSUMU SASA UMEKWISHWA, SELIKARI YAAMUA BORA YAISHE, YAAMUA KUYATOZA MAGARI YA BURUNDI DOLLA 152
MGIMWA AMESEMA UAMUZI HUO UMEFIKIWA BAADA YA KUONA WAFANYABIASHARA WA KITANZANIA WANATESEKA SANA PALE MPAKANI, HUKU MUDA MWINGI UKITUMIKA KUSHAURIANA NA WATU WA BURUNDI BILA YA MAAFIKIANO
AMESEMA TAYARI AMESHAZUNGUMZA NA WAZIRI WA FEDHA WA BURUNDI JUU YA MAAMUZI HAYO YA WATANZANIA NA KWAMBA TAYARI MAGARI YETU YAMESHAANZA KUPITA KATIKA BARABARA ZA BURUNDI KWA BEI ILEILE YA AWALI YA DOLLA 152
AKIFAFANUA ZAIDI WAZIRI MGIMWA AMESEMA AWALI TANZANIA ILIKUWA IKITOA MAGARI YOTE YA NCHI HIYO JUMLA YA DOLLA 500 SABABU IKIWA NI UKUBWA WA KILOMITA ZINAZOTEMBEA GARI HIZO TOKEA HUKO RUSUMO HADI JIJI LA DARESALAMA, LAKINI SASA WAMEAMUA KUKUBALI YAISHE KUTOKANA NA UKWELI KUWA MABASI YA KITANZANIA YAENDAYO NJE KUPITIA MPAKA WA RUSUMO NI MENGI UKILINGANISHA NA MAGARI YANAYOINGIA NCHINI
AMESEMA JUMLA YA MAGARI KATI YA 200 YANAINGIA NCHINI BURUNDI KILA SIKU IKIWA MAGARI YAINGIAYO NCHINI HAYAZI 24 KILA SIKU, HIVYO KUENDELEA KUSIMAMIA TOZO YA DOLLA MIA TANO ISINGESAIDIA KWANI WAFANYABIASHARA WETU WASINGEWEZA KUPELEKA BIDHAA ZAO NJE YA NCHI KWA WAKATI
No comments
Post a Comment