Zinazobamba

WAFANYABIASHARA MANZESE WALIANZISHA, WAMTAKA MTENDAJI ATAJE VIGEZO VYA KUJENGA JENGO KATIKATI YA BARABARA

WAFANYABIASHA KATIKA SOKO LA MANZESE WAKILIZINGIRA GARI LA POLISI ILI KUTOA UFAFANUZI JUU YA UKANDAMIZAJI UNAENDESHWA NA AFISA MTENDAJI WAO, WAFANYABIASHARA HAO WAMEGOMEA KURUHUSU KUJENGWA JENGO MBELE YA BARABARA WAKIDAI KUWA SEHEMU HIYO NI MALI YA TANROADS NA SI MTENDAJI

MWENYEKITI WA WAFANYABIASHARA HAO BW. MALTINI MAARUFU KWA JINA LA JAMBAZI MSTAAFU AKIFAFANUA JAMBO KWA WAFANYABIASHARA WENZAKE, MWENYEKITI HUYO AMEWATAKA WAFANYABIASHARA HAO KUSHIRIKIANA KWA PAMOJA KATIKA SAKATA HILO ILI KULINDA HAKI YAO ISIPOTEE, ENEO HILO LINALOTAKA KUJENGWA JENGO KWA SASA NDIO WAFANYABISHARA HAO WANAJIPATIA KIPATO KUPITIA BIASHARA WANAZOPANGA KANDO YA BARABARA HIYO


WAFANYABIASHARA WAKIWA HAWAJUI LA KUFANYA, BAADA YA KUWAFUKUZA WAFANYAKAZI WALIKUWA WAKICHIMBA MSINGI WA KUJENGA JENGO ENEO LA TANROADS

MSINGI AMBAO WAJENZI WALIKUWA WAKICHIMBA KABLA YA KUTIMULIWA NA WAFANYABIASHARA, KWENYE KONA NI NGUZO YA UMEME INAYOTENGANISHA ENEO LA MAKAZI NA BARABARA

MSINGI ULIOANZA KUCHIMBWA NA WAJENZI KABLA YA WANANCHI KUWATIMUA,



No comments