Zinazobamba

VODACOM YAJIINGIZA TENA KWENYE SHULE ZA SEKONDARI, YAKABIDHI VIFAA VYEVYE THAMANI YA MAMILIONI

TUMEWAFIKIA, SASA TUMEJIPANGA KUINUA MICHEZO HAPA NCHINI ASEMA TWISA

MKURUGENZI WA MASOKO NA UTAFITI BW. KELVIN TWISA AKIFAFANUA JAMBO MBELE YA WAANDISHI WA HABARI, TWIA AMESEMA WAMEA KUJIDHATITI KATIKA KUHAKIKISHA WANAINUA MCHEZAO WA SOKA HAPA NCHINI, BAADA YA KUDHAMINI LIGI KUU WAMEONA PIA KUNA ULAZIMA WA KUWEKEZA KATIKA VIJANA

MOJA YA JEZI ZITAKAZOTUMIKA KATIKAMASHINDANO HAYO YA SHULE ZA SEKONDARI

KOMBE LITAKALOTUMIKA KATIKA MASHINDANO YANAYOTARAJIWA KUANZA MAPEMA WIKI IJAYO, VIFAA KWA PAMOJA VINA THAMANI YA TSH MILIONI 11, JUMLA YA SHULE KUMI NA MBILI ZITASHILIKI HUKU KILA WILAYA ZA DARESALAAM ZIKITOA TIMU NNE

TWISA AKIWA PAMOJA NA WAZIRI WA HABARI NA MICHEZO FENERA MUKANGARA WAKISIKILIZA MASWALI KWA WANAHABARI


No comments