RADIO IMAAN YARUDISHA FURAHA Y AWAISLAMU
![]() | |
radio ya watu sasa ipo hewani |
WAKIZUNGUMZA NA BLOG YA JAMII YA FULLHABARI WADAU HAO WAMESEMA FURAHA YAO IMEPITA MFANO SABABU KUBWA NYUMBA ZAO ZILIKUWA TULIVU SANA NA HIVYO KITENDO CHA JURUDI REDIO HIYO IMEIBUA FURAHA YAO ILIYOPOTEA KWA KIPINDI CHA MIEZI SITA
No comments
Post a Comment