Zinazobamba

PINDA ATAKA WAWEKEZAJI ZAIDI, AWATAKA WAWEKEZAJI WA CHINA KUJA KUWEKEZA


MWAKILISHI KUTOKA CHINA AKITOA HUTUBA YAKE
 Waziri mkuu wa tanzania mh MIZENGO PINDA leo amefungua maonyesho ya bidhaa za kichina huku akiwataka  wachina kuja kwa wingi nchini kuwekeza jambo ambalo litawasaidia kukuza uchumi wa nchi zote mbili.
BAADHI YA WADAU MBALIMBALI WAKIWA KATIKA UFUNGUZI HUO
           Aidha pinda amewashukuru sana wachina na serikali yao kwa kuichagua tanzania kufanyia maonyesho hayo jambo ambalo amesema kuwa ni ushirikiano mzuri baina ya nchi hizo mbili
WAZIRI MKUU MIZENGI PINDA AKITOA HOTUBA YAKE KATIKA UFUNGUZI WA MAONYESHO YA BRAND OF CHINA AFRICAN SHOWCASE AMBAYO YANALENGO LA KUONYESHA BIDHAA ZA KICHINA NCHINI

PINDA AKIKATA UTEPE KUASHIRIA KUFUNGULIWA KWA MAONYESHO HAYO



No comments