NHIF YAZINDUA HUDUMA ZA BIMA YA AFYA YA JAMII (CHF)MJINI KILWA
Adoh
Mapunda Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa akipokea vifaa maalum vya
kuhifadhia fedha na nyaraka mbalimbali kutoka kwa Balozi Ali Mchumo
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
(NHIF) wakati wa uzinduzi wa Huduma za Bimaya Afya (CHF)katika
halmashauri hiyo uliofanyika jana kwenye viwanja vya Mkapa Garden Mjini
Kilwa, wa pili kushoto anayeshuhudia tukio hilo ni Kaimu Mkurugenzi wa
(NHIF) Khamis Mdee na kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Athuman Rehani
na Fortunata Raymond Msimamizi wa NHIF mkoani Lindi.wananchi mbalimbali
wakiwemo wazee walijitokeza katika zoezi la upimaji wa afya yakiwemo
magonjwa ya Kisukari, Shinikizo la Damu ikiwani pamoja na kupima Uzito
Urefu. PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-KILWA
Ado
Mapunda Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa akikata utepe kuashiria uzinduzi
rasmi wa huduma za Bima ya Afya katika Halmashauri ya wilaya ya Kilwa
jana kulia ni Bw. Khamis Mdee Kaimu Mkurugenzi NHIF na kushoto ni Dr.
Beatrice Mwakipesile kutoka NHIF
Baadhi ya wazee wakisubiri kupata huduma ya upimaji wa afya zao katika viwanja vya Mkapa Garden mjini Kilwa jana
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mfuko wa taifa wa Bima ya Afya NHIF Balozi Ali Mchumo akipata huduma ya vipimo kutoka kwa mmoja wa madaktari wa NHIF jana anayeshuhudia ni mama Fatma Said Ali Mke wa Balozi Ali Mchumo
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Bw. Adoh Mapunda akipima urefu na Dr. Beatrice Mwakipesile kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mfuko wa taifa wa Bima ya Afya NHIF Balozi Ali Mchumo
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Bw. Adoh Mapunda akikabidhi kadi ya
bima ya afya CHF iliyolipiwa miaka miwili kwa Aziza Said Abas Mshindi wa
shindano la kukuna nazi
Mshindi
wa shindano la kukuna nazi Aziza Abas akipongezwa na Fortunata Raymond
Msimamizi wa NHIF Mkoani Lindi pamoja na wenzake mara baada ya kushinda
katika shindano la kukuna nazi jana.
Kaimu
Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF Bw. Khamis Mdee
akimpongeza Aziza Abas mara baada ya kushinda katika shindano la kukuna
nazi
Akina mama wakichuano vikali kukuna nazi ilikuwa si mchezo
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Bw. Adoh Mapunda akizungumza katika uzinduzi huo wanaomsikiliza ni Mwenyekiti
wa Bodi ya wakurugenzi ya Mfuko wa taifa wa Bima ya Afya NHIF Balozi
Ali Mchumo wa tatu kutoka kushoto, Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa
Bima ya Afya Bw. Khamis Mdee na mwisho ni Mama Fatma Said Ali.
Mwenyekiti
wa Bodi ya wakurugenzi ya Mfuko wa taifa wa Bima ya Afya NHIF Balozi
Ali Mchumo akizungumza na wananchi katika uzinduzi huo kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Bw. Adoh Mapunda na kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Khamis Mdee
Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Khamis Mdee akizungumza na wananchi katika uzinduzi huo katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mfuko wa taifa wa Bima ya Afya NHIF Balozi Ali Mchumo kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Bw. Adoh Mapunda na kushoto ni mama Fatma Said Ali
Athman Rehani Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) akiwatambulisha madaktari waliokuwa wakichukua vipimo katika zoezi hilo
Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) akizungumza na wananchi
Fortunata Raymond Msimamizi wa NHIF Mkoani lindi akizungumza na Paul Marenga Ofisa Mwandamizi wa NHIF mkoani Lindi.
Mwenyekiti
wa Bodi ya wakurugenzi ya Mfuko wa taifa wa Bima ya Afya NHIF Balozi
Ali Mchumo akikabidhi ubani wa shilingi 100.000 kwa mzee Yusf Abdalla
ambaye alifiwa na mwanafamilia jirani kabisa na viwanja vya Mkapa Garden
mjini Kilwa ambapo ndipo palipofanyika uzinduzi wa huduma za Bima ya
Afya wilayani huo
Afisa Mawasiliano wa NHIF Bw. Ruhende Singu akiwatambulisha wachekeshaji Abdallah Salum Kulia Shoti na Rashid Omary.
Wachekeshaji Abdallah Salum Kulia Shoti na Rashid Omary wakifanya vitu vyao
Kikundi cha ngoma cha mjini Kilwa kikitumbuiza katika uzinduzi huo
No comments
Post a Comment