Katika kuazimisha miaka mitatu ya utoaji wa huduma za kidigitari hapa nchini Tanzania,kampuni ya startimes Tanzania Ltd imeamua kuwaongezea wateja wa kifurushi cha Uhuru pack channel STV KUNG FU channel ambayo inampa mteja fulsa za kuangalia tamthilia za kusisi mua kutoka nchini china zikiwa na maneno ya kiswahili
 |
| AFUSA HABARI WA STARTIMES BW. ERICK CYPRIAN AKIWA NA ZUHURA HANIFU AMBAYE NI AFISA MASOKO WA KAMPUNI YA STARTIMES WAKIFAFANUA JAMBO MBELE YA WAANDISHI WA HABARI |
Pamoja na hilo startimes wameamua kurusha mechi zote za ligi ya EUFA ambapo wateja wote wanaotumia kifurushi cha uhuru pack watapata fulsa za kuangalia mechi hizo laivu akiwa hapo nyumbani kwake pamoja na Lig ya basket ya nchini marekani itakuwa ikionyeshwa laivu
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Daresalaam, msemaji mkuu wa kampuni hiyo Bw. Erick Cyprian amesma kwa kipindi hiki cha miaka mitatu ambayo Startimes imekuwa ikitoa huduma zake hapa nchini kumekuwa na mahusiano mazuri ya kibiashara na kwamba anawaomba wateja waendelee kuwaunga mkono ili waweze kuendelea kuwahudumia kwa kiwango cha juu,
 |
| AKIENDELEA KUFAFANUA MAMBO KWA WAANDISHI |
|
No comments
Post a Comment