Zinazobamba

TANESCO,TPDC WATENDAJI WAKE WAJIAPIZA,WADAI HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE

Na Selemani Magari

Watendaji wakuu wa mashirika ya umma katika sekta ya nishati na madini wamejiapiza kutiza miradi mbalimbali waliojipangia na kwamba wakishindwa kutekeleza wako radhi kuajibishwa kwa hatua yeyot ile,
Hatua hiyo imekuja baada ya waziri mwenyedhama kutangaza miradi 29 itakayoanza mapema hivi karibuni yenye lengo la kuwa na nishati ya uhakika hapa nchini,miongoni mwa miradi hiyo ni pamoja na Kinyeezi 1 kinyerezi 2,Kinyerezi3 na Kinyerezi 3


Mkurugenzi mtendaji wa TPDC Bw. Yona Kilagane akiapa kwa wananchi

 Hapa nae mkurugenz wa wakala wa umeme vijijini akiapa mbele ya wananchi


 Katibu mkuu wa wizara hiyo Eliakim Maswi akifafanua juu ya utekelezaji wa miradi hiyo

 Waziri wa nishati na madini akitoa neno kwa wananchi
 wananchi waliohudhulia katika uzinduzi huo awkifuatilia maelezo mbalimbali yaliyotolewa na watendaji mbalimbali
 vijiji vitakavyopata umeme ifikapo 2014 ambavyo vipo ndani ya mpango

 Miradi itakayofanyiwa kazi, kama inavyoonekana hapo juuuu

 Naye kaimu mkurugenzi mkuu wa tanesco aliapa kutekeleza makumu yake na amewataka watanzania kumuunga mkono katika majuku yake, umeme wa uhakika lazima upatikane hapa


No comments