Zinazobamba

MHE. MTAKA AIFAGILIA TANESCO NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA UMEME

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Antony Mtaka amelipongeza Shirika la umeme Tanzania TANESCO kwa kuendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ya umeme ambapo amesema itawapunguzia wananchi gharama na kulinda mazingira na afya zao.



No comments