Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Bw Rajabu Amiry akiwa na marais na viongozi mbalimbali wa mashirikisho na vyama vya “Filmmakers” ktk nchi nane za Africa. Baada ya vikao vya siku tatu Kampala Uganda tumesaini MOU kwa lengo kufungua mlango mwingine masoko ya Filamu (Sream East).
TUMESAINI MOU KWA LENGO LA KUFUNGUA MLANGO MWINGINE WA MASOKO YA FILAMU:AMIRY
Reviewed by mashala
on
09:34:00
Rating: 5
No comments
Post a Comment