Zinazobamba

Jaffar Haniu ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu

 

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Jaffar Mohamed Haniu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu.

Kabla ya uteuzi huo Haniu alikuwa Mkuu wa Vyombo vya Habari vya African Media Group Limited.

Haniu anachukua nafasi ya Gerson Msigwa ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji wa Serikali.




Hakuna maoni