Zinazobamba

TUNDU LISSU ASEMA LIPUMBA NI SAWA NA YUDA,SOMA HAPO KUJUA

Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS), Tundu Lissu amesema Ukawa wanatangaza vita na CUF ya Profesa Ibrahim Lipumba kama walivyo vitani na CCM ya Rais John Magufuli kwakuwa Lipumba hana utofauti na Yuda Iskarioti aliyemsaliti Yesu.

Lissu amesema Profesa Lipumba amewasaliti kwa kuwa yeye ndiye aliyempitisha Lowassa (Edward) kuwa mgombea wa uraisi kwa tiketi ya Ukawa

"CUF ya Lipumba ilitusaliti kama Yuda Iskariot alivyomsaliti Yesu,"amesema Lissu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI.





JIUNGE NA MUUNGWANA BLOG
K