CHAMA CHA WANANCHI CUF KUTOA TAMKO ZITO,SOMA HAPO KUJUA
BARAZA Kuu la Uongozi la CUF, linatarajia kutoa tamko la chama hicho baada ya saa mbili zijazo.
Kwa muda huu wajumbe wa Baraza hilo wanaendelea na kikao chao makao makuu ya chama hicho mjini Zanzibar.
Kikao hicho kinakutana kujadili mgogoro uliojitokeza baada ya Profesa Lipumba kuwitumua wabunge wanane wa chama hicho.