Kampuni ya simu ya TECNO Mobile iliandaa futari kwaajili ya vijana wenye kupitia changamoto za kimaisha kutoka kwenye kituo cha “Watoto wetu, Donbosco” pamoja na wadau wake.
 |
Waalikwa kakiwa wanapata futari mahususi iliyoandaliwa na Tecno Mobile
Hafla hiyo ilifanyika maalumu kwaajili vijana walio katika mazingira magumu pamoja na balozi wa simu hiyo. Waalikwa waliungana pamoja na mrembo,mjasiriamali na mwanamitindo Jokate Mwegelo katika Futari maalumu hiyo iliyo sheheni michezo,zawadi kemkem.
Pia Zawadi za simu ya Camon Cx zilitolewa kwa washindi wa kampeni ya #SelfieKamili, kampeni ya Tecno Camon cx ni kampeni inayoendeshwa na Kampuni hiyo kupitia simu yake mpya ya camon Cx inayosifika kwa kua na kamera kubwa ya 16 megapixel.
|
 |
Washindi wa kampeni ya #Selfiekamili baada ya kukabidhiwa zawadi zao za Cammon CX |
 |
Washindi wakikabidhiwa zawadi zao za Camon CX |
Tecno Mobile iliandaa futari hii maalumu ili kuwapa nafasi vijana walio katika mazingira magumu kujumuika na balozi wao wa simu hiyo pamoja na washindi wa simu ili kubadlishana mawazo huku wakipata futari mahsusi ilyoandaliwa kwaajili

Simu za Tecno aina camon CX na Phantom 6 zikitumika kurecord tukio Live.
|