Zinazobamba

SERIKALI YA MAGUFULI YAWAKINGIA KIFUA WAKINA MKAPA NA KIKWETE,NI KUHUSU SAKATA LA WIZI WA MADINI,SOMAHAPO KUJUA

Serikali imepiga Marufuku matumizi ya picha za Marais  wastaafu wa awamu ya Nne na ya tatu na kuyahusisha na Sakata la Makenikia.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Harriso Mwakyembe ametoa tamko hilo leo tarehe 15,Juni