Zinazobamba

GAZETI LA MAWIO LAITIKISA NCHI,WADAU WAENDELEA KUMSHAMBULIA WAZIRI MWAKYEMBE,SOMA HAPO KUJUA




UAMUZI wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa, na Michezo  Dk, Harrison Mwakyembe, umeliibua Jukwaa la Waharirin (TEF) Nchini na kutaka uongozi wa Gazti hilo uiombe Mahakama kubatirisha uamuzi wa waziri huyo.


Tamko hilo  limetolewa leo na Mwenyekiti wa Jukwaa hilo  Theopili Makunga ambapo amelitaka Gazeti hilo kuenda mahakani ili lirudishwe mtaani kutokana na kulifungia kwa makosa.

TAZAMA VIDEO HII KISHA SHARE NA USIHAU KU-SUBSCRIBE MUUNGWANA TV .