Tigo waungana na Tecno kuzindua simu mpya ya Tecno Camon CX,soma hapo kujua
Meneja mawasiliano Tigo, Woinde Shisael akiongea na waandishi wa habari wakati wa hafla ya uzinduzi wa simu mpya ya Tecno Camon CX mapema jana katika Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam. |
Meneja mkuu wa Tecno Tanzania Daniel Xu akiongea na waandishi wa habari wakati wa hafla ya uzinduzi wa simu mpya ya Tecno Camon Cx mapema jana katika Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam. |
Selfie zikiendelea ukumbini mara baada ya uzinduzi wa simu mpya ya Tecno Camon Cx |
Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael akipiga Selfie na wadau mara ya uzinduzi wa Simu hiyo mapema jana katika Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam. |
Baadhi ya wafanyakazi wa Tigo, Tecno na wageni waalikwa wakifuatilia uzinduzi huo mapema jana katika Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam. |