Zinazobamba

PROFESA KITILA ASEMA HAYA BAADA YA KUKABIDHIWA OFISI,SOMA HAPO KUJUA

Prof. Kitila amesema katika maisha yake ametumia muda mwingi kuihoji serikali lakini kwa sasa Rais amempa kazi ya kujibu alichokuwa anakihoji serikalini.

''Ukipewa kazi na Mkuu wa Nchi unashukuru Mungu na jukumu langu ni kufanya kazi kwa bidii. Ninaahidi nitakusaidia wewe na Mweshimiwa Waziri wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji kuhakikisha kwamba ajenda yako ya kuwafikia Watanzania na kuwaboreshea maisha tunaifanikisha'' Prof. Kitila Alisema.