MAPADRI WALIA NA MANABII WA UONGO,SOMA HAPO KUJUA
Moshi. Wakati Wakristo wakiadhimisha siku ya kufufuka kwa Yesu Kristo, wako ambao leo wanaingia kanisa tofauti na waliosali mwaka jana wakati wa sherehe kama hii.
Na wapo ambao tangu Pasaka ya mwaka jana hadi ya leo, wameshabadilisha madhehebu zaidi ya mawili.
Na mwelekeo mkubwa umekuwa ni waumini wa madhehebu yanayoonekana kuwa ya asili yaliyojijenga kwa miaka mingi kama Kanisa Katoliki, Kanisa la Kilutheri na Anglikana kuhama na kwenda madhehebu yanayojulikana kama ya uamsho kama ya Kipentekoste.
Pia, walio katika madhehebu ya uamsho, nao kutwa kucha wanatoka sehemu moja kwenda nyingine; kutoka kwa mchungaji mmoja hadi mwingine au kutoka kwa askofu mmoja hadi mwingine, kutoka mtume mmoja au mwingine na kutoka nabii mmoja hadi mwingine.
Na wapo ambao wanasafiri hadi nje kufuata wahubiri maarufu barani Afrika, kama T.B Joshua wa Nigeria na Shepherd Bushiri anayefanya shughuli zake Afrika Kusini.
Huu ndio mwenendo wa waumini wa Kikristo nchini na duniani kote kwa sasa.

Reviewed by Unknown
on
11:34:00
Rating: 5