Zinazobamba

MAKADA WA ACT-WAZALENDO WAMSHAMBULIA PROFESA KITILA MKUMBO,SOMA HAPO KUJUA



mkali wa mashairi nchi Tanzania Suleima Msindi maarufu kama Afande Sele mwanachama wa chama cha ACT-Wazalendo amfungukia Prof Kitila Mkumbo juu ya uteuzi wake na ukosaaji wa serikali.
Afande Sele amtrafsiri Kitila Mkumbo kuwa ni Msomi ambaye alikuwa akipigia kelele masuala ya kiserikali ilhali akitamani naye siku moja awe ndani ya serikali
"Hongera Profesa Kitila Japo Kwa Shingo Upande Lkn Kupitia Wewe Nimejifunza Maana Ya Kuweka Akiba Ya Maneno Ili Elimu na Uungwana VIthibitishe Umuhimu Wake Ulimwenguni....Dah''Kitila Alikuwa Anaongee Saaana Kabla Hajakaribishwa Mezani...Sasa Na Yeye Yupo Mezani Kapewa Madikodiko Anakula....Mila Za Kikwetu Zinakataza Mtu Kuongea Wkt Wa KULA....Nasubiri Kuona Kama Kitila Atakiuka Mila Hiyo Kwa Kuendelea Kuongea Wkt Wa Kula Au Nae Atafuata Mkumbo Kwa Kukaa Kimya.....Dunia RangiRangile...." Afande Sele