WAZIRI MKUU AENDELEA KUMNG'ANG'ANIA FARU JOHN,SOMA HAPO KUJUA
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imeunda
tume kuchunguza taarifa inayoelezea utaratibu
uliotumika kumhamisha faru John kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Sasakwa Black Rhino Sanctuary iliyoko kwenye Hifadhi ya Grumeti Serengeti pamoja na kutafuta kaburi la faru huyo.
Amesema timu hiyo ya wataalamu tayari imeshafika Sasakwa VIP Grumet kwa ajili ya kutafuta kaburi na kuchukua vinasaba vya masalia ya faru John na kisha watakwenda kwenye
Hifadhi ya Ngorongoro kuchukua vinasaba vya watoto wake na kuvilinganisha na pembe hiyo ili kubaini kama kweli pembe aliyopelekewa ni ya faru John au la.
WaziriMkuu ametoa kauli hiyo leo (Jumapili, Desemba 18, 2016) wakati wa majumuisho ya ziara yake ya kikazi mkoani Arusha. Ziara hiyo ililengakukagua utekelezaji wa shughuli za maendeleo na kuona utoaji wa huduma kwa wananchi.

"Tume niliyounda kwa ajili ya uchunguzi wa faru
John imetua VIP Grumet Serengeti kujiridhisha kama kuna kaburi la faru
John na kama lipo wachukue vinasaba na baada ya hapo watakwenda Creter na
kuchukua vinasaba vya watoto wa faru Johnna kuvipima kwa pamoja. Lengo ni
kutaka kubaini kama pembe iliyowasilishwa kwangu Disemba 9 mwaka huu ni ya faru
John,” amesema.
Waziri Mkuu amesema wakati faru John akiwa V I P
Grumet taarifa zilisema ni mgonjwa na daktari alipompima mara ya kwanza
akabaini faru huyo hakuna na ugonjwa wowote.”Daktari
alimpima tena kwa mara ya pili taarifa zikasema tena si mgonjwa ghafla wakasema amekufa. Hili haliwezekani,”.
Waziri Mkuu amesema ameiagiza timu hiyo kufanya kazi ya uchunguzi wa taarifa hizo kikamilifukwa sababu Serikali imetumia fedha nyingi kuwaleta faru hao kutoka nchini
Afrika Kusini. Ni lazima nyara hizo za Serikali zilindwe kwa manufaa Taifa.
Waziri Mkuu alipokea taarifa inayoelezea utaratibu uliotumika kumhamisha faru John kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Sasakwa Black Rhino Sanctuary iliyoko kwenye Hifadhi ya Grumeti Desemba 9, 2016 katika kikao kilichofanyika kwenye makazi ya Waziri Mkuu Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kilihudhuriwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe na baadhi ya watendaji wa wizara yake, Baada ya kupokea taarifa hiyo Waziri Mkuu alisema
taarifa hiyo itafanyiwa kazi na wataalamu wa ofisi yake.
Akisoma taarifa hiyo
mbele ya Waziri Mkuu, Prof. Maghembe alisema hadi kufikia Desemba 2015 wakati
faru John anahamishwa alikuwa na watoto 26 (sawa na asilimia 70.2)alimpima tena kwa mara ya pili taarifa zikasema tena si mgonjwa ghafla wakasema amekufa. Hili haliwezekani,”.
Waziri Mkuu amesema ameiagiza timu hiyo kufanya kazi ya uchunguzi wa taarifa hizo kikamilifukwa sababu Serikali imetumia fedha nyingi kuwaleta faru hao kutoka nchini
Afrika Kusini. Ni lazima nyara hizo za Serikali zilindwe kwa manufaa Taifa.
Waziri Mkuu alipokea taarifa inayoelezea utaratibu uliotumika kumhamisha faru John kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Sasakwa Black Rhino Sanctuary iliyoko kwenye Hifadhi ya Grumeti Desemba 9, 2016 katika kikao kilichofanyika kwenye makazi ya Waziri Mkuu Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kilihudhuriwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe na baadhi ya watendaji wa wizara yake, Baada ya kupokea taarifa hiyo Waziri Mkuu alisema
taarifa hiyo itafanyiwa kazi na wataalamu wa ofisi yake.
ya faru wote waliokuwepo ndani ya kreta.
“Kati yafaru 37 waliokuwepo ndani ya kreta, watoto wake walikuwa 26 sawa na asilimia70.2. Uamuzi wa kumuondoa John ulikuwa ni muhimu ili kuwezesha kuongezeka kwa
faru weusi na kupunguza tatizo la ‘inbreeding’ ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro,” alisema Waziri Maghembe.