BOSI WA NIMR ALIYEFUKUZWA AJIBU MAPIGO KWA JPM,SOMA ALICHOKISEMA BAADA YA KUFUKUZWA KAZI,SOMA HAPO KUJUA
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa
Magonjwa ya Binadamu, NIMR, Dr Mwele Malechela, ametoa kauli yake baada ya
uteuzi wake kutenguliwa na Rais Dkt John Magufuli, Ijumaa hii.
Kutenguliwa kwake kumekuja siku moja tu baada ya
kuzungumza na waandishi na kudai kuwepo kwa virusi vya Zika nchini. Alisema
kati ya watu 533 waliopimwa wakati wa utafiti walioufanya, asilimia 15.6
waligunduliwa kuwa na virusi hivyo. Taarifa yake, ilikuja kukanushwa na Waziri
wa Afya, Ummy Mwalimu.
Akijibu tweet iliyosema, ” Pole sana @mwelentuli
safari yako na isonge mbele Dada,” Dr Mwele amesema, “Ahsante na itasonga
kwa msaada wa Mungu.”
Tweet nyingine alijibu: Ahsante Mathew. Nilipewa
dhamana nimetumikia ninamshukuru Mungu kwa nafasi ya kutumikia WaTanzania
kupitia utafiti.”