BAJETI 2016/2017 NI VILIO VITUPU...TGNP WASEMA HAITAWASAIDIA MAMA WAJAWAZITO
Mwenyekiti
wa vituo vya taarifa na maarifa Taifa ambaye pia ni mwenyekiti maarifa
wa kata ya makumbusho Bi JANETH MAWIZAakisoma Tamko la wanaharakati hao
juu ya Bajeti ya nchi Iliyosomwa jana Bungeni Dodoma na Kugusa Hisia za
watanzania wengi. - See more at:
http://habari24.blogspot.com/#sthash.5foHqb0K.dpuf
|
Mwenyekiti wa vituo vya taarifa na maarifa Taifa ambaye pia ni mwenyekiti maarifa wa kata ya makumbusho Bi JANETH MAWIZAakisoma Tamko la wanaharakati hao juu ya Bajeti ya nchi Iliyosomwa jana Bungeni Dodoma na Kugusa Hisia za watanzania wengi.
Mwenyekiti
wa vituo vya taarifa na maarifa Taifa ambaye pia ni mwenyekiti maarifa
wa kata ya makumbusho Bi JANETH MAWIZAakisoma Tamko la wanaharakati hao
juu ya Bajeti ya nchi Iliyosomwa jana Bungeni Dodoma na Kugusa Hisia za
watanzania wengi. - See more at:
http://habari24.blogspot.com/#sthash.5foHqb0K.dpuf
Mwenyekiti
wa vituo vya taarifa na maarifa Taifa ambaye pia ni mwenyekiti maarifa
wa kata ya makumbusho Bi JANETH MAWIZAakisoma Tamko la wanaharakati hao
juu ya Bajeti ya nchi Iliyosomwa jana Bungeni Dodoma na Kugusa Hisia za
watanzania wengi. - See more at:
http://habari24.blogspot.com/#sthash.5foHqb0K.dpuf
Imeelezwa kuwa licha ya bajeti ya Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuongezwa,
bado bajeti hiyo haijakizi mahitaji kabisa kwani haijazingatia
kumwezesha mama mjamzito kupata huduma za uzazi.
Hayo yamezungumzwa na mtandao wa
Jinsia Tanzania (TGNP) kwa kushirikiana na wanaharakati mbalimbali ngazi
ya jamii, wakati wakitoa tamko kuhusiana na bajeti ya mwaka wa fedha
20116/2017.
Akizungumza na wanahabari
jana Mwenyekiti
wa Taasisi ya Wanawake katika Jitihada za Maendeleo (WAJIKI), Janeth Mawinza,
alisema bajeti iliyotengwa kwa ajiri ya Wizara ya Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inaonekana haiwezi kutatua changamoto za mama
mjamzito kupata huduma.
“Mfano vifaa vya kujifungulia
havikupewa uzito wa kutosha pia ni vema serikali ikaondoa kodi zote kwenye
vifaa kama pedi na taulo za kujihifadhia wanawake wakati wa hedhi hususan kwa
wasichana walioko shuleni,” alisema Mawinza.
Akizungumzia ahadi ya serikali
kutoa Sh milioni 50 kwa kila kijiji, Mawinza alisema kuliko serikali kutoa
fedha hiyo kama mikopo ni bora ikazitoa kama ruzuku kuwapunguzia
wananchi madeni.
Kuhusu elimu bure, alisema
jitihada za kutoa elimu bure ziendane na uchambuzi wa kina na uwekezaji wa
rasilimali ambao utaondoa changamoto ambazo zimeanza kujitokeza.
“TGNP tunatoa angalizo kwamba
juhudi za kutoa elimu bure ziendane na uchambuzi wa kina na uwekezaji wa
rasilimali ambao utaondoa changamoto na kero ambazo zimeshaanza kwa watoto wa
kike na wenye ulemavu,” alisema Mawinza.
Kwa mujibu wa wataalamu wa mambo ya uchambuzi wa bajeti wanasema bajeti hiyo ni ya maumivu kwa walala hoi na ni ishara kuwa gharama za maisha zitaendelea kupanda maradufu ukilinganisha na mwka jana.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni