Zinazobamba

SOKO LA HISA LAJA NA KITU BORA KWA WATANZANIA,SOMA HAPO KUJUA

 Tokeo la picha la moremi marwa

SOKO la hisa mkoani  Dar es salaam (DSE) limebadili muundo wake wa uuzwaji wa hisa zake kutoka uwekezaji wa Kampuni na kwenda kwa mwanahisa anayenunua hisa zake kupitia taasisihiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari mapema hii leo jijini Dar es salam Afisa Mtendaji wa soko (DSE) Moremi Marwa amesema kuwa mabadiliko hayo yametokana na kikao kilichofanywa nawadau wa DSE pamoja Waendaji wa soko hilo mwaka jana  ambapo amesema  wadau  mbalimbali walikaa waziri mwenye dhamana ya fedha nakuweza kufikia mazimio yakuongeza sekta binafsi kuweza kushiriki katika kujenga uchumi.

''Mabadilko haya yanailenga sekta binafsi kuweza kushirikishwa pamoja na makapuni kuweza kujenga uchumi ikiwemo kuzalisha ajira ambapo mabadiliko haya yanalenga ufanisi katika kujenga uchumi ''Amesema Afisa Mtendaji Moremi Marwa .

Moremi Amesema kuwa ushirikishwaji wa sekta ya umma na sekta binafsi kutawezesha kujenga uchumi nakuweza kukuza pato la taifa katika nchi kwani sekta hiyo imekuwa ni injini yauchumi wa taifa .

Amesema lengo lakuweza kukutanisha sekta zotembili katika kujengauchumi  ikuweza kushirikiana kuweza kuzalisha ajira ilkuweza kuondokana natatizo la ajira kwavijana .
''ushirikiwashwaji wasektahizi mbili kunalenga kuleta mabadilko yakiuchumi ilkuweza kujenga uchumi nakuzalisha ajira jambo ambalo litawezesha vijana wengi kuweza kupata ajira nakuondokana na umasikini ''Aliongeza Moremi.

Hakuna maoni