Zinazobamba

PIZZA HUT YAZINDUA MGAHAWA TANZANIA, NI NCHI YA 100 KWA KAMPUNI HIYO KUFIKIHA HUDUMA


1
Balozi wa Marekani nchini Balozi Mark Childress (katikati) akishirikiana pamoja na Bw. Vikram Desai (Kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Pizza Hut  Afrika, Bw. Randall Blackford (kulia) kukata utepe ikiwa ni ishara ya  kuzindua mhagawa wa Pizza Hut katika jengo la Mkuki Barabara ya Nyerere jijini Dar es salaam.


2
Balozi wa Marekani nchini Balozi Mark Childress akipata maelezo kutoka kwa  Bw. Vikram Desai Mkurugenzi wa Dough Works Ltd, Vikram Desai mara baada ya kuzindua rasmi mgahawa wa Pizza Hut uliopo jengo la Mkuki jijini Dar es salaam.
 

3
Balozi wa Marekani nchini Balozi Mark Childress akizungumza na wageni waalikwa katika uzinduzi huo uliofanyika leo.
 

4
Baadhi ya wageni mbalimbali walioalikwa katika uzinduzi huo wa mgahawa wa Pizza Hut.
5Bw. Vikram Desai Mkurugenzi wa Dough Works Ltd, Vikram Desai akizungumza na wageni waalikwa na kumkaribisha Balozi wa Marekani Mark Childress ili kuzungumza na wageni waalikwa.

Hakuna maoni