SOKO LA HISA DSE LAWATANGAZIA NEEMA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU,SOMA HAPO KUJUA
WANAFUNZI
nchini wametakiwa kujisajili katika mashindano ya SCHOLAR challenge linaloendeshwa
na soko la hisa mkoani Dar es salaam (DSE) ilikukuza uelewa washughuli zinazo
fanywa na soko hilo.Anaandika KAROLI VINSENT endelea nayo
Akizungumza
na waandishi wahabari mapema hii leo Jijni hapa,
Meneja
wa mauzo wa (DSE) Mary KINABO amesema katika shindano hilo jumla ywanafunzi wa vyuo
vikuu 200 wameweza kujisajili katika shindano
hilo, linaloendeshwa na soko hilo
.
‘’Wanafunzi
wavyuo mbalimbali wapatao 200 wameweza kujisajili katika shindano la Schollar
INVESTMENT Challenge linalo endeshwa na soko letu lahisa la Dar es salaam
ninawaomba wanafunzi wajitokeze Zaidi katika shindano hili ilikuweza kujikwamua
naumasikini ‘’Amesema Kinabo .
Kinapo
amesema katika kuliwezesha soko hilo
kuweza kukuwa kibishara nakuwavutia wawekezaji nchini,
Hata
Hivyo,Kinaboa amezungumzia hali ya ya mauzo katika soko katika wiki iliyopita
huku akisema jumla yahisa milioni 145 ziliuzwa katikakipindi cha wikimoja ambayo
ni sawa na shilingi bilioni 7.2 ziliuzwa ikilinganishwa na shilingi bilioni 2.9
kwa wiki iliyopita .
Kinabo,
ameyataja Makampuni yanayoongoza kwa mauzo ni Benki ya CRDB ,Kampuni yasigara
yaTCC na benki ya kibishara ya NMB .
Hakuna maoni
Chapisha Maoni