WAZIRI MWIGULU AJITOSA MAPIGANO YA WAFUGAJI NA WAKULIMA,SOMA HAPO KUJUA
Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Mifugo, Mwigulu Nchemba ametembelea Kijiji cha Kigurukwa mjini Morogoro kulikotokea mapigano ya Wakulima na Wafugaji yaliyosababisha kuuawa kwa mbuzi takribani 200.
Waziri Mwigulu ameagiza Kamati ya Ulinzi ya Mkoa kuhakikisha wote waliohusika katika tukio hilo wanakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria.
Pia ameagiza kutekelezwa haraka hukumu ya mahakama iliyotolewa mwaka 2005 iliyoagiza kuwekwa kwa mipaka kati ya eneo la wafugaji na wakulima
WAZIRI MWIGULU AJITOSA MAPIGANO YA WAFUGAJI NA WAKULIMA,SOMA HAPO KUJUA
Reviewed by Unknown
on
20:35:00
Rating: 5
Hakuna maoni
Chapisha Maoni