RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WASANII WA MUZIKI IKULU,SOMA HAPO KUJUA
Rais John Pombe Joseph Magufuli akiongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akisalimia katika mkutano wa Rais John Pombe Joseph Magufuli na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimia katika mkutano wa Rais John Pombe Joseph Magufuli na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Msanii wa Kundi la Orijino Komedi, Lucas Mhavile, maarufu kwa jina la Joti katika mkutano kati ya Rais John Magufuli na Wasanii uliofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 18, 2016.
PICHA NA IKULU
RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WASANII WA MUZIKI IKULU,SOMA HAPO KUJUA
Reviewed by Unknown
on
17:40:00
Rating: 5
Hakuna maoni
Chapisha Maoni