MWIGULU NCHEMBA ACHARUKA,AVAMIA USIKU USIKU MACHINJIO YA PUGU,SOMA HAPO KUJUA
WAZIRI wa kilimo mifugo na Chakula,Mhe Mwigulu Nchemba usiku wa kuamkia leo amefanya ziara ya ghafla na ya kushtukiza katika machinjio ya nyama Vingunguti jijini Dar es Salaam.
Katika ukurasa wake rasmi wa twitter,Mwigulu amesema kuwa lengo la ziara yake hiyo lilikuwa ni kwenda kujionea mwenyewe jinsi Serikali inavyopoteza mapato katika sekta hiyo ambapo amebaini kuwa zaidi ya mapato ya ng’ombe 1107 hupotea kila siku na kuishia mifukoni mwa wajanja.
Mpekuzi blog
Hakuna maoni
Chapisha Maoni