Zinazobamba

MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE (TAA) AFARIKI DUNIA, AFA AKIFANYA MAZOEZI YA KUOGELEA


Marehemu Suleman Said Suleiman wakati wa uhai wake 
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) Suleiman Said amefariki akifanya mazoezi ya kuogelea 

Bwana  Suleiman alikuwa na utaratibu wa kuogelea kila siku asubuhi kabla ya kwenda kwenye shughuli zake mbali mbali.

Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika mapema

Hakuna maoni