MFUKO WA UTT MFI WAJA NA KITU BORA KWA WATANZANIA KUHUSU BIMA YA AFYA,SOMA HAPO KUJUA
Pichani ni Mkurugenzi wa mfuko wa (UTT MFTI),James Washima leo jijini Dar es Salaam akizungumza na mkutano na waandishi wa habari,hawapo pichani alipokuwa akizindua huduma mpya ya bima ya pamoja, |
MFUKO wa UTT microfinance Plc (UTT MFTI) kwa
kushirikiana na taasisi ya bima ya Jubilee Insurance Company of Tanzania limited pamoja na bima kampuni ya bima ya Britam ambayo zamani iliikuwa Real Insurance wamezindua
mfuko wa “Pamoja Bima” kwa aajili ya kujakinga vyombo vya moto pamoja na nyumba.Aaandika KAROLI
VINSENT endelea nayo.
Akitangaza uzinduzi wa huduma hiyo,Mkurugenzi wa
mfuko wa (UTT MFTI),James Washima leo jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano na
waandishi wa habari,amesema katika kuwaokoa watanzania kwenye majanga mbali
mbali ikiwemo majanga ya magari na majanga ya moto na mali zao,wamefikia hatua
ya kuanzisha huduma hiyo yenye lengo la
kuwasaidia watu wenye kipato cha chini kujiuunga.
“Tumeuungana taasisi nne,kwa lengo la kuwasaidia
watanzania katika kupata bima na mikopo,ili kujikinga na majanga ya moto ambayo
yanaweza kutokea kwenye Nyumba zao pamoja na mali zao,tumefikia hatua hiyo baada ya kuona watanzania hawana fedha za
haraka za kulipia kwa haraka bima kwa sababu bima zilizopo nchini ni kubwa”amesema
Washima,
Washima Amesema
Huduma hiyo itawawezesha kukata bima hata kwa mkopo kwenye mifuko hiyo na
kuwawezesha kulipa kidogodogo jambo analodai litawawezesha kunufaika na usalama
wa mali zao,
Pichani ni mkurugenzi wa Britam Insurance,Stephen Lokonyo akizungumza na waandishi wahabari |
Kwa upande wake
mkurungezi wa Britam Insurance amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi
katika kujiunga kwenye huduma hiyo,ili iweze kuwaokoa na majamnga mbali mbali
ambayo anasema yanaweza kutokea pale
mali zao zitakapopata matatizo.
.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni