HAKIKA MBUNGE NASSARI AKILI YAKE YOTE KWA WAPIGA KURA WAKE,TIZAMA ALICHOKIFANYA LEO,BOFYA HAPO KUSHUHUDIA
![]() | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari
akimsalimia moja wa watoto wanaouguzwa katika Hospitali ya Tengeru ,katika
ziara yake alipofikakusikiliza matatizo yanawakumba wagonjwa haswa wakina mama
waliolazwa katika hospitali ya tengeru alipofanya ziara ya ghafla hospitalini ![]() |

Hakuna maoni
Chapisha Maoni