DHAMBI YA DHURUMA YAITESA CCM ZANZIBAR,SASA YAANZA KUMSHIKA UCHAWI NA RAIS KARUME,SOMA HAPO KUJUA
UMOJA wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM),
umekitaka chama hicho kumvua uanachama Rais mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid
Karume. Anaandika
Josephat Isango …. (endelea).
Kauli hiyo imetolewa katika
viwanja vya Maisara mjini Zanzibar na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma
Khamis wakati wa kilele cha matembezi ya vijana wa umoja huo kuadhimisha miaka
52 ya Mapinduzi.
Alimshushia
tuhuma nzito mstaafu huyo kuwa anashirikiana na wapinzani kukihujumu chama
hicho kikongwe nchini, na kwamba asipofukuzwa umoja huo utatumia njia
zingine ambazo hakuziweka wazi.
Sadifa
alionya kwamba Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar si mali wala miliki ya mtu kwani
Wazanzibar wote wana haki ya kushiriki kuyaenzi kwa vitendo kutokana na
historia yake
Hakuna maoni
Chapisha Maoni