KIFO CHA MTIKILA, LOWASSA ASEMA HAYA SOMA HAPO KUJUA
HIVI NDIVYO LOWASSA ALIVYOSEMA KWENYE AKOUNT YAKE KUFUATIA KIFO CHA
Nimepokea kwa masikitiko sana kifo cha Mch. Christopher Mtikila. Natoa pole kwa familia na chama cha DP. Bwana Ametoa. Bwana Ametwaa....ameandika @edwardlowassatz kwenye twitter yake
Alfajiri ya leo mwenyekiti wa Chama Cha DP Mch.Christopher Mtikila amefariki dunia na watu wengine watatu kujeruhiwa katika ajali katika kijiji cha Msolwa, Chalinze mkoani Pwani.kwa habari zaidi endelea kufatilia taarifa zetu hapa dutigite.com

VIDEO hapo chini Mch.Mtikila akihojiwa na Star TV kwa mara ya mwisho kuhusu maoni yake juu ya Lowassa
Hakuna maoni
Chapisha Maoni